Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Aendelea Kuwafariji Wananchi Waliofiwa na Ndugu Zao Katika Ajali ya Meli ya Mv Spice Islander

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,akizungumza na wananchi waliofiwa na ndugu zao katika ajali ya Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama katika mkondo wa Nungwi,ikiwa safarini kuelekea Pemba,mazungumzo ya kuwafariji wananchi hao, yalifanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani,Mjini ZanzibarPicha na Ramadhani Othman,Ikulu-Zanzibar

Comments
Post a Comment