TISA WAPOTEZA MAISHA KATIKA ILIYOTOKEA CHIMBUYA - TUNDUMA MKOANI MBEYA



Watu wakiangalia gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana.
Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari za usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa mbili na nusu usiku jana. (lukaza)

Comments

Popular Posts