DK ROSE MIGIRO AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha Rose Migiro Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi ambapo alifanya mazungumzo nae.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha Rose Migiro Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Picha na Freddy Maro/Ikulu

Comments

Popular Posts