KILA SEHEMU FOLENI


Imekuwa kawaida siku hizi...kila unapoenda basi ni lazima utakuta foleni,ukienda benki foleni,...huku kwetu hadi chakula tunakipangia foleni...Hapo juu wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye foleni ya chakula cha mchana...

Comments

Popular Posts