LIBENEKE JIPYA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

Libeneke hilo linajulikana kama www.tzcampusvibe.wordpress.com,hii maalum kwa wanafunzi wa
elimu ya juu kuweza kuhabarisha jamii kupitia shughuli mbalimbali zinazoendelea vyuoni ili jamii iweze
kuelemika, kuburudika na kuhabarika kuuhusu matukio hayo.
Temebelea ili kuweza kujua yanayojiri kwenye hiyo Campus Vibe..

Comments
Post a Comment