MWAKA WA KWANZA WAANZA ORIENTATION UDOM

Foleni za za usajiri ziliendelea Chimwaga baada ya jana kushindwa kumalizika jana kwenye uwanja wa jahuri Dodoma

Wanafunzi wakisikiliza kwa umakini maelekezo mbali mbali...Wiki hii ya orientation imeanza leo mpaka Ijumaa

Wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (UDOM)wakisikiliza maelekezo kutoka kwa viongozi mbali mbali wa Chuo(Picha zote na Faddy linga na Anna Msonsa)

Comments
Post a Comment