SIKU YA USAJIRI WA MWAKA WA TATU PALE JAMHURI STADIUM

Viongozi wa Serikali ya wanafunzi ya chupo kikuu cha Dodoma(UDOSO) wakijandaa kuanza Usajiri...

Mdau wa UC blog bwana Gerald Muheto akisubiri usajiri nje ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dododma...

Hawa nao walikuwa wakisubiri usajiri nje ya uwanja wa jmahuri mjini Dodoma...Sabrina Amabary na wenzake Witty na Jesca

Wanafunzi wa mwaka wa tatu katika collage ya Social Science and Humanities wakisubiria usajiri katika uwanja wa mpira wa jamhuri week end iliyopita...
Nilichelewa kuwaletea hii taarifa kwa sababu ya matatizo ya kiufundi...Mnisamehe Bure...(Picha zote na faddy linga)

Comments
Post a Comment