TABU YA USAFIRI KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAONGEZEKA

Ikifika saa 11 jioni bado upo mjini,basi tegemea kukumbana na tabu ya usafiri...Uchunguzi uliofanya na UC blog umebaini baadhi daladala zinazoenda Udom Huishia njiani hali inayopelekea baadhi ya wanafunzi kutembea umbali mrefu mpaka kufika kwenye maeneo yao...

Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma wakisubiri Usafiri wa kuelekea chuoni mida ya jioni katika stendi ya daladala Jamatini mjini Dodoma leo.(picha zote na Faddy Gaib Linga)

Comments
Post a Comment