TASWIRA YA KARAKANA YA SHIRIKA LA RELI MJINI DODOMA....

Vijana hutumia eneo hili kujisaidia haja ndogo..hali hiyo hupelekea sehemu hii kuwa na harufu kali..

Sehemu hii imekuwa kama Dampo la takataka maaana kila mwenye taka basi hutupa maeneo haya..


Karakana hii inapatikana nyuma ya kituo kidogo cha daladala cha Jamatini mjini Dodoma..(picha na Faddy linga UC BLOG)

Comments
Post a Comment