WANITA KUCHIMBA DAWA.....BILA SHAKA NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA

Mabasi yaendayo songea yakiwa yamesimama ili kuwapa fursa abiria wake kuchimba dawa.
Kuchimba dawa ni neno lililozoeleka kwa wasafiri wengi sana wa mabasi yaendayo mikoani.Safari huanza vizuri na huwa inafika mahali Basi husimama na Abiria hushuka kwa ajiri ya kujisaidia(kuchimba Dawa)huwa najiuliza,kwa nin madereva wasisimame sehemu zenye vyoo ili watu wajisaidie?kuna Hotel mbali mbali humo njiani ambazo hutumiwa na mabasi mengi kwa ajiri ya abiria kujipatia chochote...kwa nini mabasi hayo yasiweke ratiba ya kusimamama katika hotel hizo ili kuwapa fursa abiria wao kujisaidia?
KUCHIMBA DAWA NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA.)

Comments
Post a Comment