ASKOFU GEOR DAVIE ALIPOHUDHURIA TAMASHA LA STREET UNIVERSITY
Msafara wa magari yake ukiingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Walinzi wake wakiwa wamelizunguka gari lake kuhakikisha usalama wa kutosha unakuwepo.
Akipanda ngazi kuelekea jukwaa kuu
Akiteta jambo na Mratibu wa Tamasha hilo, James Mwang’amba. Kulia ni Mbunge wa Arusha, Godbless Lema
Askofu wa Huduma ya Ngurumo ya Upako, Geor Davie, mwishoni mwa wiki iliyopita alikuwa miongonbi mwa wageni waalikwa waliohudhuria tamsaha la Street University jijini Arusha, ambapo aliingia uwanja wa Sheikh amria Abeid akiwa akitika msafara wake wa magari na kupokewa kwa vifijo na nderemo na wenyeji wake hadi meza kuu. Pichani anaonekana akifuatailia tamasha hilo kwa makini.Picha Zote Na GPL TANZANIA

Comments
Post a Comment