JE UNAJUA MAFANIKIO YA BABU WA LOLIONDO BAADA YA KIKOMBE?
HABARI zinadai kuwa Babu wa Loliondo kwa sasa ni tajiri wa kupindukia kwani ana miliki vitu kadhaa wa kadhaa. Inasemekana kuwa kwasasa Babu anamiliki nyumba moja matata inayokadiriwa kugarimu mamilioni ya pesa, pia Babu ana miliki gari mbili, moja ambayo iko pichani Land Cruiser na Pick up mabayo haipo kwenye picha na vitu vingine kadhaa wa kadhaa.(Wajanja Club)



Comments
Post a Comment