RAISI KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA HAPO JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na  Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na  Mheshimiwa John Mnyika Mbunge Jimbo la Ubungo CHADEMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na  Mheshimiwa Arfi Mbunge wa CHADEMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na  Kiongozi wa CHADEMA
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza maelezo toka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe baada ya kupokea  mapendekezo ya chama hicho juu ya kuundwa katiba mpya yatayozungumzwa kwenye mkutano huo wa kihistoria uliofanyika jana Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete Akifurahi jambo na Viongozi wa Chadema wakiongo Wa Chadema
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa CHADEMA katika mkutano huo wa kihistoria
Mh. Tundu Lissu akikoroga chai baada ya mkutano huku Profesa Baregu naye akijiandaa kujisevia
Rais Jakaya Kikwete akiongea na wageni wake
Rais Jakaya Kikwete akimpa juisi Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe baada ya mkutano
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiendelea kupata Vinywaji na Viongizi Waandamizi wa CHADEMA
 Mh Tundu Lissu akiondola Ikulu taratibu baada ya mkutano huku gari iliyombeba mwenyekiti wa CHADEMA ikiondoka pia jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Profesa Mwesiga Baregu CHADEMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na  Mheshimiwa Tundu Lissu Mbunge  Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Profesa Abdallah Safari CHADEMA

Comments

Popular Posts