TAABU YA USAFIRI JIJINI
Baadhi ya wasafiri wa kuelekea katika mikoa ya Moro na Tanga wakisubiri usafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo
Dada ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akielekea katika Kituo Kikuu cha Mabasi ya kwenda mkoani Ubungo, Dar es Salaam tayari kwa safari ya kuelekea mkoani kwaajili ya kusherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Lakini usafiri umeanza kuwa wa shida kutokana na idadi kubwa ya wasafiri wanaoenda mkoani na nchi jirani

Comments
Post a Comment