UDOM WASHEREKEA MWAKA MPYA 2012 KWA FURAHA NA AMANI

Muziki uliwashwa na watu wakcheza kwa furaha ya kuuona mwaka huu mpya wa 2012
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma wakisherekea mwaka mpya usiku wa kuamkia Tarehe moja.....ilikuwa ni furaha tu
Baadhi ya wanafunzi katika collage ya Social Science and Humanities wakicheza kwa furaha kusherekea mwaka mpya...
Vijana wakilisakata rumba usiku wa kuamkia leo
 
Dj akipanga mangoma kwa washerekeaji....it was some thing funny
Furaha ikioneshwa kwa njia mbali mbali.....
 
Mdau wa Uc Blog Joseph Kindimba akiwa amekula pozi...ni msherekeaji mzuri....teh
 
Ni kama anasema NIMEUONAAAAAA............Dodoma kuna baridi,ila kwa kwa muda huu ilikuwa ni joto....
UC blog inawatakia Wadau Wote wa Udom Chamber Heri ya Mwaka Mpya......

Comments

Popular Posts