AJALI BARABARA YA MBOZI MBEYA MCHANA HUU

Dereva wa Gari inayosafirishwa kutoka bandari kuelekea nchini Zambia Aden Mwampyate akitolewa ndani ya gari baada ya kugongana na gari aina ya Fuso katika maeneo ya Senjele wilayani Mbozi mchana huu.




Dereva Aden akiwa katika maumivi makali wakati akitolewa ndani ya Basi akikimbizwa hospitali ya Ifisi

Wasamaria wakimpandisha  dereva aliyepata ajali ndani ya Coasster ambayo alipewa msaada kwa ajili ya kupatiwa matibabu kwenye Hospitali Teule ya Ifisi



Wauguzi wa hospitali ya Ifisi wakimpeleka majeruhi ambaye ni dereva aliyepata ajali wodini kwa ajili ya kupatiwa matibabu mchana huu.

Picha na Rashid Mkwinda

Comments

Popular Posts