MWONEKANO WA STENDI KUBWA YA DALADALA MKOANI DODOMA MVUA IKINYESHA.........

 Hii ni stendi ya kubwa ya daladala mkoani Dodoma.......inaitwa jamatini...mvua ikinyesha mwonekano wake huwa hivi kama mnavyojionea......
Stendi hii imekuwa kero pindi mvua zinaponyesha mkoani Dodoma...Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma hukusanya Ushuru kwa kila Daladala linalotoka....(picha Faddy Gaib Linga)

Comments

Popular Posts