USAFIRI WAENDELEA KUWA WA SHIDA SIKU ZA WEEKEND UDOM
Usafiri waendelea kuwa ni wa shida wakati wa weekend ndani ya chuo kikuu cha dodoma Hasa Kuanzia Ijumaa Asubuhi, Jumamosi asubuhi na Jumapili Asubuhi.Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma wakisubiri Usafiri kwa takribani nusu saa hadi saa nzima hapo.
Comments
Post a Comment