UZINDUZI WA CLUB 40 – 40 YA JAYZ

Jay Z akiwa anaingia kwenye club yake ya usiku iitwayo 40-40, ambapo aliifunga kwa muda ili kuifanyia marekebisho na sasa imefunguliwa rasmi.
 

Ashanti akiwa na Irvy Gotti mmiliki wa MURDER INC lebo iliyowatoa kimuziki Ashant, Lloyd na Ja rule, Irv na Ashanti walikua wanabeef lakini sasa limemalizika
Producer/rapper Swizz Beatz akiwa anawasili! (picha zote kutoka kwa Necole)

Comments

Popular Posts